TAARIFA: habari wana ukurasa wa Kijana Endelevu Group matumaini yetu wote mpo salama na poleni sana na mwendelezo wa mvua japo ni baraka pia
TAARIFA: habari wana ukurasa wa Kijana Endelevu Group matumaini yetu wote mpo salama na poleni sana na mwendelezo wa mvua japo ni baraka pia
tunapenda kuwajulisha kwa wale wateja wetu waliokuwa wanaomba nakala zetu kwa njia ya whatsapp sasa zinapatikana na kwa mfumo huu
1. Nakala za ufugaji wa Mende zinapatika kwa 3000/=
2. Nakala za ujanganyaji wa chakula cha kuku na video yake 3000/=
3. Njia za ufugaji bora wa kuku wa kienyeji 5000/=
1. Nakala za ufugaji wa Mende zinapatika kwa 3000/=
2. Nakala za ujanganyaji wa chakula cha kuku na video yake 3000/=
3. Njia za ufugaji bora wa kuku wa kienyeji 5000/=
pia nakala zote zinapatikana katika mfuo wa lugha ya kiingereza
hakikisha unatujulisha baada ya malipo na namba ya malipo sasa ni moja tu 0719163972
kama unaitaji kulipia kwa namba tofauti toa taarifa
kama unaitaji kulipia kwa namba tofauti toa taarifa
wasiliana nasi kwa kupitia
Facebook: Kijana Endelevu Group
Email: kijanaendelevu@gmail.com
Youtube: kijana endelevu
blog: kijanaendelevugroup.blogspot.com
whatsapp : 0719 163 972
Email: kijanaendelevu@gmail.com
Youtube: kijana endelevu
blog: kijanaendelevugroup.blogspot.com
whatsapp : 0719 163 972
aksanteni sana
Comments
Post a Comment