UZALISHAJI WA ASALI
UZALISHAJI WA ASALI
UZALISHAJI WA ASALI : Asali na nta ni moja
ya mazao makuu ya nyuki nchini Tanzania, Tanzania ina mazingira mazuri ya
kuzalisha asali kwa kiwango cha juu cha ubora kutokana na kuwepo kwa aina
nyingi na spishi za mimea inayozalisha chakula cha nyuki (mbochi na
chavua). Kutokana na sababu hizo, asali inaweza kupata soko lenye bei ya
juu endapo tutadumisha ubora wakekwa maitaji ya nakala kamili ya uzalishaji wa asali wasiliana nasi kupitia
Facebook: kijana Endelevu group
Email: kijanaendelevu@gmail.com
youtube: kijana endelevu
whatsapp: 0719163972
Comments
Post a Comment