HABARI: Katazo la mifuko ya plastic

"Kinachokatazwa ni mifuko ya plastiki tu kwa maana ya vibebeo, lakini vifungashio vingine ikiwemo plastiki za mikate, maziwa, mifuko ya ujenzi na huduma za afya, na mifuko mikubwa ya taka na sukari haijakatazwa" - January Makamba - Waziri wa Mazingira.

Comments