MAGONJWA SUGU YA MFUMO WA HEWA

MAGONJWA SUGU YA MFUMO WA HEWA

Chanzo cha maambukizi

•Maji na chakula kilichochafuliwa na kinyesi cha kuku wagonjwa na kwenye vimelea
•Kupitia mfumo wa hewa kutoka kuku wagonjwa
•Kupitia mayai, hivyo maambukizi huendelea kutoka kizazi hadi kizazi

Dalili

•Kuku kukoroma
•Kuku hutoa makamasi
•Kuku wanakohoa kwa muda mrefu, wiki hadi mwezi
•Kuvimba macho
•Kutingisha kichwa
•Vivo vya kuku viaweza kufikia hadi asilimia 20
Uchunguzi

Kamasi nzito zenye usaha zilizotapakaa kwenye pia, koromeo, mapafu na vifuko vya hewa

Tiba
Madawa aina ya sulfa na antibiotiki

Comments

Post a Comment