AWA NDIO AINA YA WADUDU NA WANYAMA WANAOSHAMBULIA MAHINDI
A) VIWAVI JESHI
Kuondoa vichaka karibu na shamba
Kunyunyizia sumu za asili kama vile Mwarobaini majuma mawili ya mwanzo.
Kunyunyizia sumu za viwandani endapo wadudu wameanza kuonekana kama vile Karate 1ml/1L
lakini pia matumizi ya mkojo wa sungura yanafanya vizuri katika kumdhibiti mdudu huyu
B) FUNZA WA MABUA (MAIZE STALK BORER)
Funza wa mabua hutoboa shina la mahindi na kusababisha kudumaa kwa mahindi.
Matundu, ungaunga kama wa msumeno huonekana kwenye majani yaliyoathiriwa.
Mashambulizi huanza juma la pili hadi la tatu baada ya mahindi kuota.
Njia za kudhibiti zinazotumika
Kuchanganya mahindi na mazao jamii ya mikunde km vile maharagwe
Kung’oa mahindi yaliyoshambuliwa
Sumu za asili mwarobaini
Sumu za viwandani km vile Karate. pia waweza tumia Malathion, sumithion, vumbi ya cymbush au Sevin 5G na ufuate maagizo kamili.
C) CUTWORMS (VIKATA SHINA)
Dawa/Kudhibiti: Tumia Dragnet FT na ufuate maagizo kamili.
D) WANYAMA WAHARIBIFU
Kudhibiti: Kuwatishia na kuwafukuza wanyama. Ili mkulima aweze kupata mazao mengi na bora inashauriwa kutumia
Comments
Post a Comment