JINSI YA KUTUNZA MAYAI YA KIENYEJI MUDA MREFU
Mayai ni kitu ambacho kinaweza kuharibika kwa urahisi kama umakini hautakuwepo hasa kwenye uhifadhi wake.
Kwa mayai ya kienyeji soma baadhi a mambo ambayo yatakusaidia kujua namna ya kuhifadhi mayai muda mrefu.
Somo hili limelenga uhifadhi wa mayai kwa ajili ya kula au kuuza kwa matumizi ya nyumbani maana mayai kwa ajili ya kuatamishia yana utaratibu wake tofauti wa uhifadhi (somo hili litakuja siku nyingine)
Hakikisha mayai hayana mbegu ya jogoo kwakuwa yai linapokuwa na mbegu ya jogoo then likawekwa kwenye sehemu ya joto maana yake umeliambia yai ANZA KUTENGENEZA KIFARANGA hivyo yai hilo litabadilika na baada ya muda halitafaa kwa kula au kuuza.
Ili kuhakikisha mayai yako hayana mbegu ya jogoo fanya yafuatayo:
i) Kuwa na banda maalumu kwa ajili ya majike tu bila jogoo hata m1 hii itasaidia mayai yatakayotagwa yasiwe na mbegu ya jogoo.
ii) Kama unafuga kwa ajili ya kuuza kwa ajili ya kula na kutotolesha vifaranga hakikisha una mabanda mawili tofauti, moja kwa ajili ya mayai na jingine kwaajili ya mayai yenye mbegu.
N.B KUMBUKA KUWEPO AU KUTOKUWEPO KWA MAJOGOO KWENYE BANDA HAKUONGEZI WALA KUPUNGUZA UTAGAJI WA MAYAI ILA INATEGEMEA NA LENGO LAKO KAMA MFUGAJI.
MADHARA YA UHIFADHI MBAYA WA MAYAI KWA AJILI YA KUUZA
• Unaweza kumuuzia mteja yai ambalo halijaharibika bt linambegu so mteja wako akienda kuhifadhi hilo yai kwa muda, yai litaharibika then atakachokwambia ni kwamba mayai yako ni mabovu kumbe ulimuzia mayai mazima bt yenye mbegu ya jogoo so akaweka sehemu yenye joto na yakaanza mchakato wa kutengeneza kifaranga.
• Utapoteza wateja wengi wakiamini mayai yako ni mabovu
• Kama ukikosa wateja mara tu mayai yanapotagwa, mayai yatakuharibikia mapema wkt upo kwenye machakato wa kutafuta wateja.

Imekaa poa sana nahitaji kufanya hii bihashara but now nimepatamwanga asanteh
ReplyDelete