Faida za Karanga mwilini


Faida za Karanga Mbichi mwilini

MAAJABU YA KARANGA
Wengiwetuhuchukuliaulajiwakarangakama
chakulachakujiburudishanakisichokuwana
umuhimusanakatikaafya ya mwiliwabinadamu. 
Kiukwelikarangasiyochakulachakupuuziwa
iwapoutajuafaidazakekamanitakavyokujuzaleo
katikamakalahaya. 

MAGONJWA YA MOYO…. 
Kama ilivyokuwakwakorosho, karanganazoni
chanzokizurichamafutamazuriaina ya 
‘monounsaturated fats’ ambayoyanatiliwamkazo
kutumiwakwaafya ya moyo. Kwamujibuwa
utafiti, watuwanaokulakarangamarakwamara
hupunguzahatari ya kupatwanaugonjwawa
moyo (cardiovascular heart disease) kwaasilimia
21. 
Aidha, katikataarifailiyochapishwakwenyejarida
moja la Uingereza la ‘Journal of Nutrition’ 
ambakokunamatokeo ya taarifannezautafiti, 
imeoneshapiawatuwanaotumiakarangamara

kwamara, angalaumarannekwawiki, hujipa
kinganyinginedhidi ya ugonjwawamoyo
(coronary heart disease) kwazaidi ya asilimia 37. 

Mbali ya kuwanamafutamazuriyanayotoakinga
kwenyemoyo, karangapia, hasazakukaanga, 
zinaelezwakuwanakiwangokikubwacha
virutubishovinavyotoakinga ya mwili
(antioxidants) kulikohatakilekinachopatikana
kwenyetunda la eponakaroti! 

Ilikupatakingahiyodhidi ya ainahizombiliza
ugonjwawamoyo, ambaounatesawatuwengi
dunianinakugharimupesanyingikwamatibabu, 
unashauriwakulakarangapamojanabidhaazake
kama vile ‘peanut butter’, angalaukijikokimoja
chachakula, marannekwawiki. 

KINGA DHIDI YA KIHARUSI…… 
Ugonjwamwinginehatariunaosumbuawatu
wengihivisasanikiharusiau ‘stroke’, lakini
unawezakujikinganaokwakuwanamazoea ya 
kulakarangatu.

 

 

Utafitiumeoneshakuwakarangainakirutubisho
aina ya ‘Resveratrol’ ambachohupatikanapia
kwenyezabibunamvinyomwekundu (red wine). 
Kwamujibuwautafitiuliofanywamaabarana

kuchapishwakwenyejarida la KilimonaKemia ya 
Chakula (Journal of Agricultural Food Chemistry), 
umeoneshakuwakirutubishohichohuimarisha
utembeajiwadamukwenyemishipainayokwenda
kwenyeubongokwakiasichaasilimia 30. 

KINGADHIDI YA KANSA YA TUMBO…. 
Faidanyingineinayowezakupatikanakwenye
mwilikutokananaulajiwakaranga, nikingadhidi
ya ugonjwawasaratani ya tumbo. 

Kwamujibuwautafitiuliofanywa, unaonesha
kuwavirutubishovya ‘folic acid’, ‘phytosterols’, 
‘phytic acid’ (inositolhexaphosphate) na
resveratrol’ vinavyopatikanakwenyekaranga, 
huwezakutoakingadhidi ya ugonjwawasaratani
ya tumbo. 

Zaidiutafitihuoumeoneshakuwaulajiwa
karanga, hatamarambilitukwawiki, unauwezo
wakupunguzauwezekanowakupatwanasaratani
ya tumbokwaasilimia 58 kwawanawakena
asilimia 27 kwawanaume! 

Kwamaelezohayokuhusufaidazakaranga
mwilini, bilashakachakulahikikinapaswakupewa
kipaumbelekatikaorodha ya vyakulatunavyokula
kilasikunahakikaMunguametupendasanakwa
kutupakingadhidi ya maradhiyoteyanayotukabili
kwanjia ya vyakula.

Comments