Posts

Showing posts from February, 2018

Faida za Karanga mwilini

Image
Faida za Karanga Mbichi mwilini MAAJABU YA KARANGA Wengiwetuhuchukuliaulajiwakarangakama chakulachakujiburudishanakisichokuwana umuhimusanakatikaafya ya mwiliwabinadamu.  Kiukwelikarangasiyochakulachakupuuziwa iwapoutajuafaidazakekamanitakavyokujuzaleo katikamakalahaya.  MAGONJWA YA MOYO….  Kama ilivyokuwakwakorosho, karanganazoni chanzokizurichamafutamazuriaina ya  ‘monounsaturated fats’ ambayoyanatiliwamkazo kutumiwakwaafya ya moyo. Kwamujibuwa utafiti, watuwanaokulakarangamarakwamara hupunguzahatari ya kupatwanaugonjwawa moyo (cardiovascular heart disease) kwaasilimia 21.  Aidha, katikataarifailiyochapishwakwenyejarida moja la Uingereza la ‘Journal of Nutrition’  ambakokunamatokeo ya taarifannezautafiti,  imeoneshapiawatuwanaotumiakarangamara kwamara, angalaumarannekwawiki, hujipa kinganyinginedhidi ya ugonjwawamoyo (coronary heart disease) kwazaidi ya asilimia 37.  Mbali ya kuwanamafutamaz...

Tanzania yachoma vifaranga 5000 kutoka Kenya

Image
Tanzania kwa mara nyengine tena imechoma vifaranga 5,000 vya kuku vinavyodaiwa kuingizwa nchini humo kupitia mpaka wa Kaskazini wa Namanga kutoka Kenya.Kulingana na gazeti la Daily Nation nchini Kenya, katibu katika wizara ya mifugo nchini Tanzania Maria Mashingo, amesema kuwa mfanyibiashara aliyeingiza vifaranga hao nchini Tanzania hakuwa na vibali vinavyohitajika .Tanzania imesema kuwa hatua ya kuwachoma kuku hao inalenga kuzuia kuenea kwa homa ya ndege.''Hakuna haja ya kuathiri sekta yote ya kuku kwa sababu ya vifaranga 5000'', Mashingo alinukuliwa na gazeti hilo akisema.Takriban miezi mitatu iliopita, Tanzania ilichoma vifaranga 6,400 vya kuku wenye thamani ya shilingi 577,000 waliopatikana katika mpaka huohuo , hatua ilioshutumiwa na wanaharakti wa wanyama kutoka mataifa yote mawili.Uamuzi huo pia ulisababisha vita vya kibiashara kati ya mataifa hayo jirani.Kuku hao walichomwa na maafisa wa wizara ya mifugo na uvuvi wakishirikiana na maafisa wa usalama baada ya ku...

aina za biashara 39 zinazoweza kukuingizia kipata

Image
LISTI YA FURSA ZA BIASHARA NA MIRADI 1. Kununua Mashine za kukoroga zege na kukodisha. 2. Kununua Mashine za kukata vyuma na kuzikodisha. 3. Kutengeneza na kuuza tofali 4. Ufundi, Website updating/Database: Katika Halmashauri, Manispaa, Mashule, Wizara, Wilaya na Makampuni mbalimbali. 5. Kuanzisha kituo cha redio na televisheni 6. Kufunga na kutengeneza vifaa mbalimbali vya electroniki na mawasiliano mfano; compyuta na vifaa vya compyuta na mawasiliano. 7.Kuuza software; mfano Antivirus, Operating Systems, Pastel, Tally, Myob, n.k 8. Kushona na kuuza nguo. 9. Kufungua Duka la kuuza nguo mpya; suit, socks, batiki, nguo za asili, Mashuka, Mashati, Suruali, 10. Ufugaji wa mifugo mbalimbali mfano Kondoo, Mbuzi, Ng’ombe, Kuku, Bata, na wengine. 11. Kufungua stationery, kuuza (supply) vitabu na vifaa mbalimbali ktk mashule na vyuo. 12.Kutoa ushauri mbalimbali wa Kitaalamu. 13. Kuuza viazi, mahindi, mihogo, kutengeneza popcorn na kuziuza. 14. Kusajili namba za simu na ...

MCHANGANUO WA TSHS 300,000/= (LAKI TATU) KWA KUANZISHA MTADI WA UFUGAJI KUKU WA KIENYEJI.

Image
MCHANGANUO WA TSHS 300,000/= (LAKI TATU) KWA KUANZISHA MTADI WA UFUGAJI KUKU WA KIENYEJI. Hapa tuta hitaji kuku 11 tu wakubwa wanao taga yani majike 10 na Jogoo 1 tu. Kwa kutumia kuku hao 11 baada ya miezi mitatu unaweza ukawa na kuku mia Tatu 300 au na zaidi kama unataka. Nunua kuku wako katika chanzo cha kuaminika kuepuka magonjwa usinunue kuku sehemu za masokoni au kwenye mabanda ya njiani au kuku wanao safirishwa kutoka mkoa mmoja kwenda mwingine. Unapo nunua kuku wakubwa kwanza unapo wafikisha wape chanjo ya mdondo (Newcastle vaccine) ili kuweka rekodi yako ya chanjo maana chanjo hii hurudiwa kila baada ya miezi 3. Ukumbuke tarehe uliyo wachanja na tarehe utakayo wachanja tena baadae. Usinunue kuku kabla hujaandaa banda na Chakula. Katika sh. 300000 toa sh.69500 ambayo utanunua Chakula cha kuku, kuku hawa hawana formula ya Chakula hivyo unaweza kununua material ukachanganya Chakula mwenyewe ampapo utaokoa pesa nyingi pia. Mchanganuo Wa 69500 ni:- Pumba gunia 1. Shs.20000 guni...

MDUDU WA NYANYA KANITANGAZE

Image
MDUDU WA NYANYA KANITANGAZE . Mdudu huyu anajulikana kama nondo wa nyanya na kitaalamu Tuta absoluta, aliyegungulika kuwepo nchini tangu 2014, lakini madhara yake yameanza kuonekana mwaka huu na ana athiri uzalishaji wa nyanya kwa kasi na kiasi kikubwa sana jambo lilopelekea wakulima kumbandika jina ‘kanitangaze’  Ni muhimu kwa wakulima kumtofautisha mdudu huyu na Yule mwenye mapindo, ambae kwa kawaida hushambulia nyanya na mazao mengine, wadudu wenye mapindo ni aina ya nzi –buu lake huzalisha kijumba chembamba, ambacho husukwa kwenye majani, lakini hakishambulii tunda kama ilivyo kwa Tuta absoluta . TABIA ZA WADUDU HAWA. Wadudu wakubwa wanafanya kazi usiku na mapema wakati wa asubui, Majira ya saa 1 hadi saa 5 asubuhi wanaweza kuonekana wakiruka kwenye sehemu ya juu ya majani. Kwa kawaida huwa wanataga mayai usiku kwenye sehemu ya juu ya mimea, kwenye sehemu ya chini ya majani au shina changa au sehemu za maua, katika maisha yao, mdudu jike huweza kutaga ...

UTENGENEZAJI WA WADUDU KWA CHAKULA CHA KUKU

Image
Kijanaendelevu.blogspot.com NAMNA YAKUTENGENEZA MCHWA KWA AJILI YA KUKU Mchwa ni chanzo kizuri sana cha protini kwa kuku,mchwa kwa vifaranga wanakua vizuri sana,kwa kuku wanaofugiwa ndani ni vizuri kuwapa mchwa kwa kuwa wanakosa sehemu yakuokota hao wadudu mbalimbali, watu wengi wanaweza kujiuliza ni kwa namna gani watatengeneza mchwa kwa ajili ya kuku wao,  KANUNI AU HATUA ZAKUFUATA KUTENGENEZA MCHWA 1.andaa mahitaji muhimu yanatakiwa -kinyesi kikavu cha ngombe au mbuzi -majani makavu,au mabua ya mahindi,maharage hata maranda unaweza tumia mojawapo au ukachanganya -chungu,au sufuria au box 2.changanya vitu tajwa hapo juu vyote vizuri  3.nyunyizia maji kila kilichomo kilowane kiasi 4.weka mchanganyo wako kwenye chombo ulichokiandaa,chungu,sufuria au box 5.chukua chombo hicho kakiweke sehemu ambayo unahisi mchwa wanaweza kupatika mfano,kichuguu,kwenye njia mchwa, sehemu nyingi ya ardhi kavu mchwa wanapatika 6. Acha chombo chako hapa kwa masaa 24, ila chombo umekiwek...

AFYA: FAIDA ZA UKWAJU

Kila mmoja wetu atakubali kuwa tukiwa watoto wadogo bado twaenda shuleni, ifikapo saa nne au saa sita kila mmoja alikuwa akijongelea 'deli' ili apate 'barafu' au 'aisikrimu' za aidha ukwaju au ubuyu. Kwa siye ambao sehemu ya maisha yetu tumekulia mashambani, tulikuwa tukihakisha kuwa popote penye ukwaju panageuka kijia cha msimu, walao hadi msimu wa ukwaju upite, alimradi tudokoe ukwaju. Tunapokuwa 'wakubwa' hupenda kuona baadhi ya vyakula na matunda kama vile 'ya kitoto' na hivyo kuachana navyo, pasipo kufahamu kuwa tunakosa virutubisho vingi ambavyo ni chanzo kikuu cha afya bora. Zifuatazo basi ni faida za ukwaju ambazo zitakushawishi siku nyingine kuagiza glasi ya juisi ya ukwaju, na kama ni 'waziri wa mambo ya ndani' ya nyumba, au una fahamiana na 'waziri husika' basi agiza aendapo gulioni asiache kuchukua fungu la ukwaju wa kutosha walao wiki kama si mwezi mzima. Faida 10 za ukwaju: Chanzo kizuri cha viuasumu...

KILIMO MBADALA

Image

UFUGAJI SAMAKI

Image

Faida 48 za Juisi ya Tangawizi

Faida 48 za Juisi ya Tangawizi ambazo ulikuwa huzijuwi bado Huwa inanishangaza sana ninapoutafakari ukuu wa Mungu kwa namna ambayo ametupa mimea mbalimbali mhimu kwa ajili ya afya zetu – Mwanzo 1:29. Maelezo yafuatayo kuhusu tangawizi yatakupa wewe ujuzi wa mmea mwingine wa asili usio na madhara ya kikemikali na kusaidia mwili wako kuwa na afya nzuri na ya kupendeza. Tafiti mpya zinazidi kuonyesha namna mmea huu ulivyo wa mhimu kwa afya ya binadamu ikihusisha uwezo wake wa kudili na aina mbalimbali za kansa mwilini na tafiti nyingine zinaendelea kufanyika. Tangawizi inaweza kuwekwa karibu kwenye kila chakula, iwe ni katika kuilainisha nyama nyekundu, kuongeza radha katika nyama au samaki, kama chai, kwenye juisi na kadharika. Binafsi napenda ikiwa kwenye juisi ya matunda ndiyo inakuwa tamu zaidi na inaenda kufanya kazi mwilini haraka zaidi. Tangawizi ni zao la kibiashara na ni rahisi kutoka kimaisha kama utaamua kulima tangawizi ingawa ni zao la miezi mingi lakini ukivum...

Kilimo cha mchaichai

Mchai chai ni mmea ambao unatambulika hapa nchini pamoja na Afrika kwa ujumla wake, lakini hapa nchini wengi huutambua mmea huu kama kiungo katika chai na husaidia kinywaji hicho kuwa na harufu nzuri. https://t.me/joinchat/H2dWjRLLCb0uY0f_DRx3rw Tafiti kadhaa zinaonesha kuwa mchaichai una vichocheo muhimu vinavyoweza kupamban ana athari kadha wa kadha tumboni, kwenye mkojo na hata kwenye vidonda. Wengine huamini kuwa mchaichai huamini kuwa mchaichai unaweza kutibu baadhi ya maradhi kama vile homa ya matumbo, matatizo ya ngozi, madhara yanayotokana na ulaji wa chakula chenye uchafu na pia hutibu maradhi ya kichwa na hata misuli. https://t.me/joinchat/H2dWjRLLCb0uY0f_DRx3rw Hizi ni baadhi ya faida za kunywa chai yenye mchai chai katika mwili wa binadamu. 1. Kuzuia kutapika 2. Kutuliza maumivu ya tumbo 3. Kupunguza makali ya homa. 4. Msaada kwa wenye tatizo la baridi yabisi, 5. Husaidia kusafisha figo 6. Huzuia tatizo la tumbo kuunguruma 7. Husaidia uyeyushaji wa chakula 8. Hup...

Jiunge nasi kwenye group letu kwa kufata link hii

https://t.me/joinchat/H2dWjRLLCb0uY0f_DRx3 rw