WAJUE JAMII YA KUKU WEUSI
Huyu anaitwa Ayam Ceman hii ni breed ya kuku ambao ni adimu
sana na ni weusi kuanzia manyoya mpaka viungo vyake vya ndani asili yake ni
indonesia,
Kwa utani huyu kuku wamemfananisha na magari ya lamborghini
kutokana na bei yake kua ghali sana ukilinganisha na kuku wengine,
Kuku mmoja huuzwa kati ya dola $1999 - $2500
This is the Ayam Cemani Chicken. It is a rare breed of
chicken from Indonesia
Just one of these chickens costs between $1999 and $2500
This $2,500 Chicken Is The Lamborghini Of Poultry. Paul
Bradshaw, a breeder in Florida at Greenfire Farms, sells chickens for
$2,500...per chicken, that is. And $4,999 for a juvenile pair. Bradshaw says
the rare Indonesian breed Ayam Cemani is “my most requested bird, ever
Comments
Post a Comment