UFUGAJI: namna ya kujua kuwa sungura wako ana mimba
KUJUA KUWA SUNGURA WAKO ANA MIMBA
1.Sungura kuonyesha Kuwachukia wenzie na pia kuwan'gata wenzake mara kwa mara pindi anapokuwa katika hali hiyo...
2.Kuonyesha Kutopenda kukaa karibu na wenzao hasa madume..
3.Pia ukimchunguza sungura kwa kumkamua maziwa yake mwanzo huwa meupe na mepesi kama maji na anapokaribia kuzaa huwa meupe na mazito kiasi, tayar kwa watoto kunyonya atakapozaa..
4.Sungura huanza kuandaa sehemu ya kuzalia kwa either kutumia nyasi au majani yoyote yanayopatikana katika mazingira hayo yao..
5.Halikadhalika huanza kujinyonyoa manyoya yake ili kuwaandalia sehemu nzuri ya ambayo watoto wake wataweza kuishi salama pindi atakapozaa na unapoona hali ujue hana siku nyingi atakuwa tayari kishazaa kama siku 1-2
NOTE;-
Ni vizuri kuwaandalia kreti la soda au box halikadhalika ni vizuri kuwawekea na taulo au maranda(pumba za miti) ili iwe rahisi kwa sungura kuwaandalia watoto wake mazingira mazuri pindi atakapozaa kwa usalama zaidi..
...
Pia unapotambua sungura wake anamimba jitahidi kumchuza ili kugundua hali dalili hiz na zingne na jitahidi kumpatia majani yatakayomfanya aongeze maziwa ili atakapozaa watoto wapate maziwa ya kutosha ili waweze kuwa na afya nzuri...

Comments
Post a Comment