UFUGAJI:- zingatia haya unapofuga


KAMA MFUGAJI KUKU YASIKUPITE HAYA
1)Zingatia kuimarisha kinga ya mwili ya mifugo yako dhidi ya magonjwa kwa kuimarisha upatikanaji wa chakula bora na ziada ya protein na vitamin mimea ya kiasili kama aloevera mlonge na lusina ni mizuri kuimarisha kings
Image may contain: bird
2)Epuka kuwapa kuku chakula Chenye uvundo au maji maji
Hakikisha wanapewa chakula kikavu na ukisafirisha chakula kipindi cha mvua kuwa mwangalifu

3)Epuka kuwapa mifugo yako chakula dhaifu kwani athari zitaanzia tokea wakiwa vifaranha hadi kufikia kuku wanaotaga
4)ikiwa utatumia jiko la mkaa kama chanzo cha mbadala wa joto hakikisha moto was mkaa ni mwekundu na ufunikwe majivu moto was mkaa usipokuwa mwekundu utaleta gesi kwa vifaranga
5)jifunze kwa kina na uzingatie chanjo kwa maana chanjo na usafi ni msaada kwa afya.

Comments

Popular posts from this blog

Jifunze kuhusu mbilimbili na matumizi yake yote

JUA KUHUSU UGONJWA WA BAWASIRI

jifunze kujua viazi mvirongo na faida zake hapa