MBEGU BORA ZA NYANYA
1. EDEN F1 :- hii ni mbegu chotara ambayo stahimilivu sana katika kipindi cha masika cha mvua nyingi.(tani 45 kwa ekari)
2. ASSILA F1 :- hii ni mbegu chotara ambayo ni stahimilivu sana kipindi cha kiangazi(ukame) mvua chache.(tani 25 kwa ekari)
3. ANNA F1 :- hii ni mbegu chotara ambayo ni maalum kwa kilimo cha ndani yaani GREENHOUSE.(tani 74 kwa ekari)
Hizi ndio mbegu chotara zinazopendekezwa sana na wataalamu wa kilimo kwani zina mavuno mengi sana na zinastawi vizuri kwa maeneo mengi ya Tanzania.

Comments

Popular posts from this blog

Jifunze kuhusu mbilimbili na matumizi yake yote

JUA KUHUSU UGONJWA WA BAWASIRI

jifunze kujua viazi mvirongo na faida zake hapa