usiyoyajua kuhusu incubators
Incubators ni Mashine zinazo tumika
kutotoreshea viuombe mbali mabali hasa
Ndege,
AINA ZA INCUBATORS
1. Forced Air Incubator
2. Still Air Incubators
FORCED AIR INCUBATOR
- Forced Air Incubators ni mashine yenye
Feni kwa ajili ya kutawanya joto ndani ya
incubators
STILL AIR INCUBATORS
- Hii ni mashine siyo kuwa na fane
IPI NZURI?
- Inashauriwa kutumia/kununua Forced Air
Incubators ndo bora kabisa na
haiatakusmbua na hatahivyo kwa incubator
kubwa karibia zote ni Fored air, na mara
nyingi ndogo ndo still air
3. AINZA INCUBATOR KWENYE OPERATION
- Manual
- Automatic
MANUAL INCUBATORS
- Hizi hutumia mikono katika kugeuuza mayai
na katika maswala mengine kama kucontro
joto na kazalika
AUTOMATIC INCUBATORS
- Hizi hujiendesha kama Computer, kila kitu
hufanywa automatically so kazi za manual
hupunguza sana
- Ukiwa na Incubnator Automatic na ikawa na
sehemu ambayo inajiongeza maji
automatically basi inaweza hata kata wiki bila
kuchungulia mashine yako na ikawa inapiga
kazi bila tatizo.
-
NI IPI NZURI?
-Kwa kweli kwa maisha ya sasa inahitajika
Automati Incubators ambayo haitahitaji wewe
kuwepo mara kwa mara katika ku contro
mashine, Ingawa kuna wakati Manual
inahitajika kuliko Automatic na kuna wakati
Automatic inahitajika kuliko manual
NB: Automatic nyingi zina manual, yaani
kuna sehemu ya kushft kwenda manual, ila
manual karibia zote hazina sehemu ya kushift
kwenda automatic
ILA ZOTE ZINAFANYA KAZI KWA UFANISI
SAWA, TOFAUTI MOJA NI AUTOMATIC NA
NYINGINE NI MANUAL
MAMBO MUHIMU SANA KWENYE
INCUBATORS
- Aina ya incubators
- Model of operation
- Manufacture
- Nguvu inazo tumia
- Altenative source of power
4. MANUFACTURE
Incubator nyingi za nje ni nzuri sana, Kuna za
Italy, Denmark, Uk, China, USA, India, South
Africa Trukey na kazalika na bei
zinatofautiana. Na utaona kwamba Incubator
kama za Uk, South, USA, Italy ni very
expensive compare na za kutoka China au
India.
Ila bei kutofautiana sana sio ishu na kama
mnavyo jua China wao wna Policy yao
kuhusu Internatinal Trade that is why.
Mashine nza Ndani ya Nchi nazo zipo nzuri
na zipo zingine ni vimeo ila watengenezaji
wanatakiwa kuwekeza zaidi kwenye Utafiti na
si kujikita kwenye mauzo, inatakiwa
kuboreshwa zaidi na zaidi ili ziwe na viwango
vizuri
5. SOURCE OF ENERGY
Incubators karibia zote zinatumia Umeme
kama source namba one na jua, makaa yam
awe au gas kama source namba mbili,
ingawa zipo za mafuta ya taa pia kama
source No 1
6. ALTENATIVE SOURCE OF ENERGY
Kila aina ya mtengenezaji ana source yake ya
altenative energy, zipo za Gas, zipo za
umeme jua na zipo za mvuke wa maji na zipo
za mafuta ya taa, na zipo za makaa yam awe.
7. ALTENATIVE SOURCE NZURI
- Kwangu mimi Incubators ambazo altenative
source of energy ni Mvuke wa maji nimetokea
kuzipenda sana
- Hapa umeme ukikatika unaunga pipe
kwenye Mashine na unakuwa na birika
special na unaiweka jikoni maji yanachemka
na mvuke unapita hadi kwenye incubators, ni
source nzuri sana,
- Hata jua nayo ni source poa
ILA BADO SOURCE YA JUA AU GAS INAKUWA
NI ALTENATIVE NZURI SANA.
MATATIZO YA INCUBATORS
Incubators nyingi zina shida moja kubwa
sana, Incubators inaweza ikaharibika na
wewe usiwe na habari kabisa na mpaka uje
kushutuka ilisha haribu mayai yote na hilo ni
tatizo kubwa sana,
MFANO:
-Heating tube zinaweza kufa na wewe usijue
kabisa, na ukija shitikia ilisha haribu kila kitu
-Humidity Tube inaweza kufa na wewe usijue
na ukija shitukia ni balaa
-Eggs turning inaweza kufa na usitambue
hata siku mbili
- Humidity sensor na temperature sonsor
zinaweza kufa na wewe usijue chochote
Na mara nyingi kinaweza kufeli kifaa kimoja
za vingine viakendelea na kazi bila shida ila
ikawa ndo kama hivyo, Mfano Mashine
inaweza kuwa imekufa Humidity tube, na
hapo inaweza endelea kufanya kazi na some
time ni vigumu sana kugundua.
- Na tofauti na mitambo kama gari, Incunator
inapo haribika huku ukiwa umeweka mayai ni
balaa tupu, kama huna mashine nyingine ndo
inakuwa imeharibu mayai yote.
KUKATIKA KWA UMEME- Endapo umeme
utakatika na ukatumia Gas, au mafuta ya taa
au makaa yam awe kama source nyingine ni
lazima ugeuze mayai kwa mkono, na hapa
tatizo liko kwamba ile mashine haiwezi
kukubali kugeka ni lazima ubonyeze sehemu
ya kubadilisha kutoka automatic kwenda
manual. HAPA NDO HUWA KUNA KAZI PEVU
Na Mwisho ni kuhusu uendeshaji wa
Incubators, Mara nyingi uendeshaji nao ni
tatizo kubwa nasa hasa kwenye seting joto
na humidity, make seting lazima zitofautiane
kulingana na maeneo au vipindi Fulani, Joto
na wakati wa Baridi kari
Comments
Post a Comment