UFUGAJI.Ikiwa kuna shida ya kuku kuvimba macho
Ikiwa
kuna shida ya kuku kuvimba macho, Hapo kuna mara mbili kama macho
yamevimba na yanatoa machozi hayo ndiyo mafua na dawa au tiba yake ni
FLUBAN ila kama yana vidonda hiyo ni ndui inapaswa uchemshe maji ya
uvuguvugu kisha uchovye na kitambaa na upakae kwenye vidonda hivyo na
baadaye wapakae iodine tincture kwa ajili ya kukausha huku kwenye maji
ukiwawekea CTC 20%
Comments
Post a Comment