UFUGAJI: KULEMAA KWA MIGUU KWA KUKU

KUKU KULEMAA VIDOLE NA MIGUU.
Ugonjwa huu huonekana kama kutanuka na kulemaa kwa vidole na miguu.
Kuku na bata mzinga ndio ndege wanaweza kushikwa kwa haraka na ugonjwa huu.
Ugonjwa huu husababishwa na
▶ Protini nyingi mwilini.
▶ Ukosefu wa vitamin A.
▶ Magonjwa yanayoenezwa kwa kugusana au kukaribiana. Mfano mzuri ni ugonjwa wa mkamba unaoambukiza.
DALILI ZA UGONJWA HUU.
▶ Miguu huuma kuku anapojaribu kutembea. Kwa sababu hii, hushindwa kukifikia chakula na maji mahali kilipo.
▶ Utagaji hupungua kwa namna moja au nyingine.
KUDHIBITI HALI HII.
Kuku wasipewe chakula chenye protini nyingi kama vile mlo wa samaki na dagaa

Comments

  1. Aise ahsante sana nimejua ugonjwa ambao sijawahi fikiria katika kufuga kwangu

    ReplyDelete

Post a Comment

Popular posts from this blog

Jifunze kuhusu mbilimbili na matumizi yake yote

MAAJABU KUHUSU MAFUTA YA MAWESE

JUA KUHUSU UGONJWA WA BAWASIRI