SOMA: HUMUIMU WA KUTUMIA MAGAZETI KWA VIFARANGA

Kwa tunaopendelea kuwa tunafanya hivi kwa vifaranga wadogo nashauri tuwe tunawawekea magazeti ili ikitokea vifaranga wakawa wanachafua iwe kwa kinyesi au namna nyingine inakuwa rahisi kwa mfugaji kuweza kusafisha
Ila kwa hivi unachofanya madhara yake ni kwamba kifaranga anaweza akajisaidia katika chakula hicho ulichomwagia hapo chini halafu akaja mwingine tena kula katika pumba hizo yaan kudonoa kinyesi kile pasipo kujua kuwa ni kitu cha hatari na hapo ndipo mwanzo wa magonjwa kama coccidiosis au typhoid na ndio magonjwa ambayo huongoza kwa kuua sana vifaranga wadogo ikawa ni pigo au kesi tena kwa mfugaji
No automatic alt text available.

Comments

Popular posts from this blog

Jifunze kuhusu mbilimbili na matumizi yake yote

MAAJABU KUHUSU MAFUTA YA MAWESE

JUA KUHUSU UGONJWA WA BAWASIRI