Hayo ni.MAGONJWA ,MATATIZO YANAYOTOKANA NA LISHE DUNI
Kwa mfano. Kuvimba macho, miguu kukosa nguvu na kashindwa kusimama au kutembea, kutaga mayai tepetepe, kula mayai, kudonoana.
Tambua upungufu wa rishe na dalili zake.
*UPUNGUFU WA VITAMIN*
Upungufu wa vitamin ni uhaba wa vitamin mbali mbali katika mwili wa kuku.
DALILI.
.Ukungu kwenye macho
.Kuku hawakuwi vizuri, wanadumaa manyoya huchelewa kuota.
.Vifalanga wadogo kuharisha
.Kuku kukonda
.Vidole vya miguu kupinda na kuku kushindwa kutembea
.Ngozi kuathirika
.Ulimi kuvimba
.Magamba madogo madogo kuzunguuka mdomo na macho
.Miguu kupooza
Vifo ni vichache.
TIBA:
-Tumia vitamin stahiki
-Hakikisha unawapatia kuku majani mabichi .mchicha na mboga jamii ya mikunde ; kila mala hasa nyakati za kiangazi.
-Changanya vitamin ya dukani kwenye maji.
-Hakikisha chakula cha kuku kinakuwa na virutubisho vyenye asili ya wanyama(DCP)
-
*UPUNGUFU WA MADINI*
Upungufu wa madini ni uhaba wa madini kwenye mwili wa kuku.
DALILI: -Mifupa ya mdomo kupinda
-Kuku wana kuwa na tabia kula vitu ovyo( pia utawaona wanakula manyoya yao yanayo dondoka)
-Kuku wanatafunana na kudonoana
-Miguu kupooza
-Viungo vya mwili kuvimba
Vifo ni vichache.
TIBA.: . Changanya madini kwenye chakula cha kuku. (Dcp)na ( premix)
*UPUNGUFU WA PROTIN*
Upungufu wa protini ni uhaba wa protini kwenye mwili wa kuku.
DALILI.
.Manyoya ya Kuku kutimka
.Kuku wanatafunana na kudonoana
.Miguu kupooza na kukosa nguvu
TIBA: -Kwenye chakula cha kuku kuwepo na vyakula vya protini
-Chakula cha kuku kijumuishwe na virutubisho vyenye asili ya wanyama(DCP) ambayo ndio chanzo kizuri cha protini.
Hapo utaona kuwa kila tatizo kuna dalili zinafanana, na tiba zinafanana hivyo kuku wako ukizingatia kuwapa vyakula vya protini, madini na vitamin hapo kuku wako utakuwa umewapa Kinga zidi ya matatizo hayo yote.
Nb : kuku kutaga yai tepetepe huo ni upungufu wa madini ya calsium

Comments
Post a Comment