Kuku wa nyama broliler wanakua kwa mda wa wiki 4 mpaka kuuzwa wakiwa na kilogram1 pia ukiwapa matunzo mazuri hufikisha mpaka kilo moja na nusu hata zaidi tunaanza na chakula. Wiki mbili za mwanzo hupatiwa broiler starter.

SOMO LA BROLIRER

Kuku wa nyama broliler wanakua kwa mda wa wiki 4 mpaka kuuzwa wakiwa na  kilogram1 pia ukiwapa matunzo mazuri hufikisha mpaka kilo moja na nusu hata zaidi tunaanza na chakula.
Wiki mbili za mwanzo hupatiwa broiler starter.
 Wiki ya tatu hupewa broiler grower . Wiki ya 4 hupewa broiler finisher mpaka kuuzwa ukizingatia ayo hakika watakua vizuri pia mazingira yake yawe ndani sehemu ambayo kuna joto la kutosha  lisio kithiri. Kama  unauwezo weka bulb au hata taa ya chemli kama utashindwa garama za umeme pia kuweka jiko la mkaa kwa ajili ya joto hasa mda wa wiki mbili za mwanzo ni muhimu kwa ajili ya kuwapa joto
Kuwa makini kwani joto likizidi  huleta madhara pia.
 Chini ya sakafu kunatakiwa pawe na bedding material au kitaalam tunaita litters ila lazima utangulize  magazeti chini ndipo uweke maranda, magazeti hasa  pale wawapo katika siku za mwanzoni , magazeti hukusaidia wewe katika kufanya usafi pale maji yanapo mwagika . Kumbuka kubadilisha Maranda Mara tu yanapoloana kwani yataleta magonjwa na kusababisha vifaranga kufa pia usafi ni muhimu sana kwani kinyesi kinapozidi kinawachoma chini ya kifua wanapolala na kusababisha tatizo lingine ,tumia feeders kwa kuwapa chakula kama huna uwezo kata ata madumu vizuri kwa kiwango kizuri ambacho watafikia kuweza kula chakula pia kwenye drinkers za maji fanya ivo ivo kama huna uwezo wa drinkers  kama ilivo kwa feeders kumbuka ,pia ni vizuri vifalanga kuwa weka kwenye brooder ,pia nyumba inatakiwa iwe na madirisha mapana makubwa uzibe na saflet au turubai kwa ajili ya kuzuia baridi inakua ivo kwa ajili ya kuwa rahisi kufunua wakati joto linapozidi japo upande mmoja wakati wa mchana.
Image result for broiler

  Hairuhusiwi mtu yoyote ambaye hahusiki kama muhudumu kuingia ovyo ndani ya  banda kwani ataleta maambukizi ya vimelea vya magonjwa kama bacteria
 Pia nje ya mlango ni lazima kuwekwa dawa kwenye sehemu iliyotengenezwa mlango ili wanapoingai waweze kukanyaga na viatu vyao ndipo waingie kitaalam tunaita disinfectant (dawa flan. Tunaweka kwa kuchanganya na maji huwa kuna vipimo vyake? Pia lazima pawe   na daftar lakurekod vifo na walio hai kwa kila jioni na asubuhi hivohivo kuwapima uzito kwa kila jioni na asubuhi na kurekod kwa kutumia kifaa maalun kiitwacho (weigh bridge)  kumbuka walemavu wanatakiwa watengwe sehemu yake maranyingi wanashindwa kutembea hii huchangiwa na matatizo mengi huweza kuwa kwa kitaalam (genetic makeup yake ndivo kizazi kilivo amerithi kwa uzao wa nyuma au kukosekama kwa madini kama calcium hiyo pia huchangia  kingine cha kutakiwa kufanya ni kufata ratiba za chanjo kama ifwatavo ,kwa broiler haina haja ya kuchanjwa Marek's kwani wanaishi mda mfupi huo ugonjwa hutokea baada ya mda ambapo broiler hawatokua bado wapo hai watakua wamefikia kuuzwa.pia siku ya kwanza inashauriwa vikija vifaranga vipewe glucose kwa ajil ya nguvu unachanganya kwenye maji , siku ya 2 hadi ya 6 otc plus pamoja na vitamin .Siku ya 7 wapewe chanjo  ya Newcastle then siku ya 14wapewe  chanjo ya gumboro kufikia siku ya 21wapewe chanjo ya gumboro na siku ya 28 wapewe chanjo ya Newcastle  hapo sasa mpaka kufikia mauzo ila katikati ya Siku na kuendelea utatibu kulingana na dalil unazoona kutokea kama magonjwa mengine

Comments

Popular posts from this blog

Jifunze kuhusu mbilimbili na matumizi yake yote

JUA KUHUSU UGONJWA WA BAWASIRI

jifunze kujua viazi mvirongo na faida zake hapa