UTENGEZAJI WA CHAKULA CHA KUKU WA NYAMA (BROILER) kutengeneza chakula cha kuku wa nyama
UTENGEZAJI WA CHAKULA CHA KUKU WA NYAMA (BROILER)
kutengeneza chakula
cha kuku wa nyama
1.
Mahindi – kg 200-100kg
2.
Mashudu ya alzeti-40kg-20kg
3.
Dagaa kg35-20kg
4.
Damu- kg19-10
5.
Pluard kg65-35
6.
Pumba za Mashudu –kg55-30kg
7.
Lime store (chokaa)
8.
Mifupa ( kg10-5kg)
9.
Chumvi -2kg- 2kg
10.
Premix -2kg-2kg
Changanya kwa kufata kanuni
Grower mash
Chakula cha kuku
1.
Mahindi kg156-85kg
2.
Pumba 35kg-20kg
3.
Dagaa 35kg-50kg
4.
Pumba 80kg-45kg
5.
Mifupa 7kg-5kg
6.
Alizeti 55kg-25kg
7.
Chokaa 25kg-13kg
8.
Chumvi 1.5kg-1.5kg
9.
Premix 2kg-2kg
10.
Rice polish 85kg-45kg
Chick mash
brofel, layer’s, kienyeji
1.
Mahindi kg27-14kg
2.
Pumba 27kg-25k
3.
Mifupa 7kg-7kg
4.
Alizeti 55kg-25kg
5.
Chumvi 1.5kg-1.5kg
6.
Premix 2kg-2kg
7.
Lysine
0.6kg-0.3kg
8.
Dop imeth 10 mine 0.6kg-0.4 kg
Jinsi ya
kutengeneza chakula cha kuku WA mayai layer’s
Maelezo
Chakula hichi ni bora kinakuwezesha kupata mayai
yaliyo bora ya kuku wako na kuwafanya kuwa na afya bora na kuongeza uzarishaji
wa mayai na kufikia kwenye kiwango kinachokuwezesha kupata mayai yaliyo bora
zaidi kukufanya kushindana nakatika soko la kuuzia mayai.
Malighafi ya
kutengeneza chakula cha kuku Na kupata kilo 971 jumla ya mchanganyiko wote
1.
Mahindi
yapalazwe( usisage)
-25kg-35kg
2.
Pumba ya
Mahindi
-45-30kg
3.
Mashudu ya pamba - 28-16kg
4.
Mashudu ya Alizeti -
70-38kg
5.
Dagaa -35-15kg
6.
Limestone (chokaa) -25-15kg
7.
Pollard (Pumba ya ngano) - 28-13kg
8.
Premix
-3kg-1kg
9.
Chumvi
-2kg-2kg
10.
Mifupa -12kg-8kg
Waweza kuchanganya mchanganyiko huu kiasi
chochote unachoweza zingatia kanuni yaani maelezo ya msingi
Kuku wa kienyeji
1.
Mahindi
yapalazwe( usisage)
-25k
2.
Pumba ya
Mahindi
-10k
3.
Mashudu ya pamba - 5k
4.
Mashudu ya Alizeti - 5k
5.
Dagaa
-5k
6.
Limestone (chokaa) -1k
7.
Premix
-1/2k
Kuku wako wape chakula hiki mala tatu kwa
siku
Inategemeana na kuku ulionao pia nakaribisha mawazo tofauti kwa
wenye uwezo zaidi katika utengenezaji wa chakula bola cha kuku
Je ukitumia damu Kuna uhitaji wa kutumia dagaa., ahsante
ReplyDeleteNi vyema kufata formula ndugu
Delete