MAELEKEO:soma maelekezo ya mtambo wa biogesi
MAELEZO ZAIDI YA MITAMBO YA BIOGESI
MUHIMU:Unaweza kuchagua ukubwa wa mtambo wa nishati ya gesi kutegemea idadi ya mifugo uliyonayo na mahitaji yako ya nishati.
Ukubwa wa Mtambo
Idadi ya Ng’ombe
Masaa ya kupika kwa siku:
Ukubwa wa Mtambo
|
Idadi ya Ng’ombe
|
Masaa ya kupika kwa siku
|
4m3
|
2 → 3
|
2→ 4
|
6m3
|
4→ 5
|
4→ 6
|
9m3
|
5→ 7
|
6→ 10
|
13m3
|
10→15
|
8→15
|
Idadi iliyoonyeshwa ni ya ng’ombe wanaolishwa kwenye zizi muda wote ambapo kinyesi hupatikana kutoka kwenye zizi.
Kama
ng’ombe hupelekwa malishoni wakati wa mchana na kurudi kwenye zizi
wakati wa usiku, inatakiwa kupatikana kinyesi sawa na ng’ombe wasio
chungwa ili kupata kiasi cha gesi kinacholingana na mahitaji yako.
JE, UNAHITAJI NINI KUWA NA MTAMBO WA NISHATI YA GESI?
1) Unahitaji kuwa na angalau ng’ombe wawili wa kudumu karibu na mtambo.
2) Ng’ombe wako wawepo muda wote katika mwaka. Unatakiwa kulisha mtambo hata wakati wa ukame.
3) Hakikisha kuwa utaweza kulisha ng’ombe wakati wa ukame.
4) Hakikisha kuwa na maji wakati wote wa mwaka
Comments
Post a Comment