Posts

Showing posts from July, 2021

Why your chicken dies unexplainedly

I hope my brother reader, the whole healthy as God has given you a safe awakening. It is important for me to ensure you get the right nationality regarding poultry farming all kinds. Today I would like to bring you a very important lesson to you as described above. Get me straight into today's lesson, chickens are very immale birds in the quality of her health. Often when a chicken is sick, there are various symptoms he will show them so that if the herder is careful it is easier to identify and support or treat.   Below are a variety of symptoms that you will see for your chickens to find out which disease is. 1.Chicken breakout is one of the most unusual symptoms for chickens. Chicken is always so immitted to achieve that he cannot stay in one place. So if you see your chickens have long fabricated you know there is a problem, so it's important to investigate what the problem is so you can treat her in time before side effects Occur. For example, I one day found my c...

Mada: vifo vya gafla kwa kuku

Mada: vifo vya gafla kwa kuku  Nimatumaini yangu ndugu msomaji, u mzima wa afya njema kwa kadri Mungu alivyokujalia kuamka salama. Ni muhimu kwangu kuhakikisha unapata taaeifa sahihi kuhusiana na ufugaji wa kuku aina zote. Leo nimependa kukuletea somo muhimu sana kwako kama linavyojieleza hapo juu. Niingie moja kwa moja kwenye somo la leo, kuku ni ndege mchangamfu sana katika ubora wa afya yake. Mara nyingi kuku akiwa anaumwa kuna dalili mbalimbali atazionyesha ili kama mfugaji ukiwa makini ni rahisi kutambua na kumsaidia au kumtibu. Zifuatazo ni dalili mbalimbali ambazo utaziona kwa kuku wako ili ujue ni ugonjwa gani . 1.Kuku kuzubaa ni moja ya dalili isiyo ya kawaida kwa kuku. Mara zote kuku ni mchangamfu sana kufikia kwamba hawezi tulia sehemu moja. Kwa hiyo ukiona kuku wako amezubaa kwa muda mrefu ujue kuna tatizo, hivyo ni muhimu kuchunguza tatizo ni nini ili uweze kumtibu kwa wakati kabla madhara makubwa kutokea. Mfano, siku moja nilikuta kuku wangu kazubaa. Ikabidi n...

Ufugaji wa Sato

Tujifunze kuhusu ufugaji wa samaki wa kisasa ambao hufanyika kwenye mabwawa ya kuchimbwa au visima na vitu vingine vinavofanana na hivyo. Kuna aina nyingi za samaki wa maji baridi ambao wanaweza kufugika kwa urahisi au ugumu kidogo tu na aina hizo wapo wale ambao sio wa kuzaliana(monosexual) na wale wa kuzaliana(heterosexual) Urahisi hapa uko zaidi kwenye kuwafuga wasiozaliana sababu hawaongezeki wakati wale wanaozaliana utakuwa na utaratibu wa kuhamisha fishling(vifaranga) sehemu nyingine. Rasilimali muhimu za kuwa nazo ili kufanikisha shughuli hii ni eneo la ardhi,maji, rasilimali watu na rasilimali fedha.Eneo la ardhi ndio litakaloonyesha ni kwa namna gani bwawa lako liwe,aidha la kujengea na cement,kutandika plastic au kuchimba na kulitumia hivyohivyo.Bwawa huchimbwa/kujengwa kwa kuwa na sakafu yenye ulalo kiasi(gentle slope/gradient) Wapo samaki aina ya Sato(Tilapia),Kambale(African catfish) na wengine aina ya pangasius ambao hufugwa kwa wingi sana. Unahitaji samaki 7-8 katik...