Posts

Showing posts from April, 2020

TENGENEZA PESA KWA KUTUMIA BLOGSPOT

Image
TENGENEZA PESA KWA KUTUMIA BLOGSPOT Kila mtanzania ana ndoto ya kuwa na maisha mazuri ila wengi wetu tuna shindwa kutoka kimaisha kwasababu tu hatuzijui fursa zetu ,kuna niia mbali mbali wewe kama kijana unaweza kujiajili na kujikimu kimaisha , Unaweza kuanzisha blog yako inayo weza kukutengenezea pesa kwa namna moja ama nyingine yote haya utajifunza hapa hapa katika Makala zetu za technologia hii mpyaa  Unaweza kutengeneza pesa kwa kuanzisha blog yako kwa kuweka matangazo ya watu pia wewe kama ni mfanya biashara unaweza ukaitangaza biashara yako duniani kote kwa kupitia blog yako hivo basi Tuangalie namna ya kuanzaa blog yako. Hapa ndio mahali husika katika kujifunza namna ya kuwa na blog yako na kuifanya iwe na mafanikio makubwa kama ambavyo wengine wamefanikiwa kupitia blog zao. Kuna namna mbali mbali za kuwa na blog ila leo hapa nitazungumzia mbili tu ambazo ni rahisi sana. Kumbuka kuwa kuwa na blog yako mwenyewe hakuna gharama yoyote zaidi ...