Posts

Showing posts from August, 2019

NYANYA CHUNGU/NGOGWE(African eggplant)

Image
NYANYA CHUNGU/NGOGWE(African eggplant) Nyanya Chungu au Ngogwe ni zao la kitropic linalotoa mazao yake kama matunda na kutumika kama mboga, kuna aina mbalimbali za nyanya chungu ambazo ni nyanya chungu ambazo ni za asili na zingine ni chotara sio chungu kama za asili. Rangi ya matunda huwa kijani kibichi au kijani-njano, au njano-nyeupe, na yakipevuka kabisa hugeuka mekundu. Matunda yafikia hatua ya kupevuka huwa hayafai tena kuliwa, ila kwa kutoa mbegu za kupanda. Matunda hupikwa au kukaangwa na kufanywa mchuzi, au huchanganywa na mboga zingine. Pia hupikwa pamoja na ndi. AINA ZA NYANYA CHUNGU Gilo Kumbai Shum ASILI YAKE Nyanya chungu asili yake ni Afrika Magharibi, lakini kwa sasa ime sambaa Afrika ya kati na mashariki. Kutokana na ugunduzi wake Afrika magharibi, zao hili pia linalimwa huko Visiwa vya Karibi, Amerika kusini na baadhi ya maeneo ya kusini-magharibi mwa Asia. Nyanya chungu hulimwa kwa matumizi ya chakula, matumizi ya dawa, na matumizi ya mapambo. HALI YA HEW...