Posts

Showing posts from August, 2017

VIDEO:UGONJWA WA MDONDO KWA KUKU

Image

WAJUE JAMII YA KUKU WEUSI

Image
WAJUE JAMII YA KUKU WEUSI Huyu anaitwa Ayam Ceman hii ni breed ya kuku ambao ni adimu sana na ni weusi kuanzia manyoya mpaka viungo vyake vya ndani asili yake ni indonesia, Kwa utani huyu kuku wamemfananisha na magari ya lamborghini kutokana na bei yake kua ghali sana ukilinganisha na kuku wengine, Kuku mmoja huuzwa kati ya dola $1999 - $2500 This is the Ayam Cemani Chicken. It is a rare breed of chicken from Indonesia Just one of these chickens costs between $1999 and $2500 This $2,500 Chicken Is The Lamborghini Of Poultry. Paul Bradshaw, a breeder in Florida at Greenfire Farms, sells chickens for $2,500...per chicken, that is. And $4,999 for a juvenile pair. Bradshaw says the rare Indonesian breed Ayam Cemani is “my most requested bird, ever

Jifunze kuhusu mbilimbili na matumizi yake yote

Image
Jifunze kuhusu mbilimbili na matumizi yake yote MTI WA MBILIMBI (M-MBILIMBI) Huu ni mmea unaopatikana sana sehemu za pwani kama Zanzibar, Tanga, Dar es salaam, Kibaha n.k Ni mmea ambao hauwezi kuhimili ukame wala baridi kali na unastawi zaidi kwenye mvua za kutosha na udongo usiotuamisha maji kabisa. MATUMIZI Miaka mingi mbilimbi zimekuwa zikijulikana kwa matumizi ya achali ndio maana sehemu nyingine mbilimbi zilitungwa jina la PICKLE FRUIT. Utengenezaji wa achali uko wa kuchanganya vitu tofauti tofauti kama nyanya, vitunguu, pilipili, ndimu, malimao, chumvi, maembe n.k ambavyo vinankuwa katika vipande vidogo vidigo, unaweka kwenye chupa na kuanika juani kwa siku kadhaa (ingawa baadhi huupika mchanganyiko huu) Mbilimbi pia hutumika kutengenezea siki (vinegar) na mvinyo, hii mara nyingi hufanyika viwandani na sio majumbani kama ilivyo achali. Mbilimbi pia ni dawa kwa magonjwa kama chunusi, kifua na kukohoa na mengineyo mengi. Ili kutibu kukohoa unatakiwa utafune mbilimbi kama ...